Kwa vile una computer nyingine, njia rahisi ni kutoa graphic card kutoka katika computer ya zamani na kuiweka katika hiyo isiyo display, kama haitoonyesha then jaribu ku-uninstall video driver na kuload upya. Wakati fulani ni file zimekuwa corrupt. Kama ipo embled kwenye motherboad, chomeka nyingine kwenye PCI or AGP slot, kutegemea na board yenyewe inasupport card gani.