Soko la ajira kwa hizi course mbili lipoje?
Akasome yeyote tu..anyoonaninafaa..ila ajue chngamoto za ajira ziko kote kote..nt kwa ushauri bora food science.
#MaendeleoHayanaChama
Daaaaah na kama mtu amefaulu vizur itakuwaje sasaNikuambie kitu,
Huyu dogo pamoja na ww msiwe focused sana kwenye madigree.
Dogo si ana cheti cha form 4? na cha form 6 achague diploma moja asome for 2 years aingie mtaani
Msiwe rigid sana na madegree.
Kazi zimekua ngumu sana hasa kwa watu wenye elimu kubwa
Daaaaah na kama mtu amefaulu vizur itakuwaje sasa
Ahaaaa kumbeee,,,nimekupataaakufaulu shule ndio kufaulu maisha??
Kupanga ni kuchagua
Azam mwenye diploma anakula net 1.7mAsome food science and technology ila akubaliane na mshahara kidogo[emoji853] ajira zake nyingi ziko kwenye viwanda vya wahindi
Aisee..!!Azam mwenye diploma anakula net 1.7m