good advice na si kama haoni aibu...hapana.nursing kwa sasa ni marketable kuliko hata hiyo co,na ina advantage nyingi sana,kwanza unakua na uhakika wa kupata g.p.a kubwa itakayo kuwezesha ukasome bachelor baadae since it is not complicated,pili RN yaan diploma ya nursing unakua na uhakika wa kupata kazi mazingira ya mjini ambayo ni rafiki pia compared to co,unaweza pata kituo kijiji cha mbali na mji,na huduma za kijamii pia.akapige tu nursing.....kuvaa koti jeupe kusikuchanganye sanaKama huoni Aibu mkuu wangu na upo huru kabisa nenda kapige NURSING...
Sent using Jamii Forums mobile app
Diploma.im clinical medicine kwa government haizid 1.5M. Isipokuwa changamoto inakuwa ni competition.
Kwa direct entry je? Imean wale wanaochaguliw na serikali badala ya kwenda A levelDiploma.im clinical medicine kwa government haizid 1.5M. Isipokuwa changamoto inakuwa ni competition.
Kwa private utapata na ada nadhan anzia 2m and above.
Kikubwa tembelea website ya nacte kuna list ya vyuo vyote na course wanazotoa
Sent using Jamii Forums mobile app