Tarehe ya mwisho ya kujisajili kufanya mitihani ya Bodi (Examination Registration) ni Machi 31 kwa mitihani ya mwezi Mei na tarehe ya mwisho ya kujisajili kuwa mtahiniwa wa Bodi (Candidacy Registration) ni Februari 28.
Baada ya tarehe hizo utapaswa kulipa faini ndani ya wiki mbili, kwa kila siku utakayokuwa umechelewa.