Msaada kuhusu dalili za ra rheumatoid artisis

feni_mbovu

Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
7
Reaction score
1
Nasumbuliwa na tatizo la kuumwa ns joints za parts kwenye miguu hasa vidole vya miguu joints za mapaja hips now maumivu yanaanza kuelekea kama kwenye uti wa mgongo msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakwambia kua ni rheumatoid arthritis?
Ndio maana nimeuliza kutaka kujua coz nimeusoma huu ugonjwa na nikaangalia dalili zake ni kuathiri joints na sehemu kama moyo n.k kwangu ndio naona hizi dalili miguu kuuma joint zangu mpaka kwenye mabega na mikono mpaka miguu pia huuma

Anhaa owkay, me nakushauri uende hosp. ukafanyiwe vipimo ili lijulikane tatzo nin. Na kama Rheumatoid arthritis ni vizur ukawai mana unavyochelewa ndo unaweza pata shida kubwa zaid.
 
Nasumbuliwa na tatizo la kuumwa ns joints za parts kwenye miguu hasa vidole vya miguu joints za mapaja hips now maumivu yanaanza kuelekea kama kwenye uti wa mgongo msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
First aid tumia Zincovit au nutravit ziwe za maji.

Pia punguza mawazo uliyonayo.

"the highest risk should give maximum profit"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…