Msaada kuhusu Dar es Salaam Maritime Institute (DMI)

jones justace

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
22
Reaction score
0
Wapendwa naomba kujua hicho chuo mwaka wa masomo kwa degree unaanza lini.kama unajua please nisaidie kwan web site yao haionyeshi.Thanks
 
wapendwa naomba mwenye kujua mwaka wa masomo kwa degree unaanza lini anisaidie kwan ktk web site yao hawajaonyesha na nimepata post huko.THANKS
 
wapendwa naomba mwenye kujua mwaka wa masomo kwa degree unaanza lini anisaidie kwan ktk web site yao hawajaonyesha na nimepata post huko.THANKS

Nenda wapo pale sokoine drive karb na kango la Azam marine transpots ndio watakupa details pale mkuu usiogope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…