msaada kuhusu dhamana kwa mtuhumiwa.

Traore

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
640
Reaction score
774
Habari zenu wanajamvi
..Inafahamika yakuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa je wale askari wanaodai pesa ndio watoe dhamana nitawashtaki wapi?
pia kama walinishika pesa kwa ajili ya dhamana na kesi ikaisha nina uwezo wakwenda kuwashtaki tena au kuna muda maalumu kwa shtaka lao

naombeni msaada weledi wa sheria
 
Tatizo ni woga na haraka ya kutaka kufanikisha KWA njia za panya. Dhamana ni ahadi tu kuwa utampeleka mshitakiwa kituoni siku anapohitajiwa. Na akitoroka ndo utalipa hizo pesa ulizoahidi.

Unaposema utampeleka wapi sijakuelewa. Hiyo ni rushwa sehem husika km unaushahid ni PCCB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…