Moses Cellestine
Member
- Nov 18, 2013
- 29
- 15
Habari za leo ndugu.
Nahitaji kujua hivi inaweza kunigharim shilingi ngapi kupima DNA? Nahisi nabebeshwa mzigo usio wangu hivyo nataka nipate uhakika ili kama ni mwanangu nimlee kwa moyo mkunjufu. Ila sijui lolote kuhusu DNA. Msaada tafadhali.