Moses Cellestine
Member
- Nov 18, 2013
- 29
- 15
Kipimo cha DNA kinapatikani kwa mkemia mkuu wa serkali pekee na gharama zake utazijua ukifika huko.Habari za leo ndugu.
Nahitaji kujua hivi inaweza kunigharim shilingi ngapi kupima DNA? Nahisi nabebeshwa mzigo usio wangu hivyo nataka nipate uhakika ili kama ni mwanangu nimlee kwa moyo mkunjufu. Ila sijui lolote kuhusu DNA. Msaada tafadhali.
Nashukuru sana kwa msaada huu Mkuu.Kipimo cha DNA kinapatikani kwa mkemia mkuu wa serkali pekee na gharama zake utazijua ukifika huko.
Angalia tu mikono yako na ya watoto wako mistari ya pingili za vidole na mistari ya kwenye kiganja lazima ifanane aidha na wewe ama mama. Sasa kazi ni kuipata ya mama. Mpige picha akilala ama akilegea wakati wa kugegedana halafu kalinganishe na ya wanaoHabari za leo ndugu.
Nahitaji kujua hivi inaweza kunigharim shilingi ngapi kupima DNA? Nahisi nabebeshwa mzigo usio wangu hivyo nataka nipate uhakika ili kama ni mwanangu nimlee kwa moyo mkunjufu. Ila sijui lolote kuhusu DNA. Msaada tafadhali.
This means a lot to me man wangu. We pia naona unaelewa ninavyojisikia. Ila umenisaidia sana apa. Thanks.Kipimo sio ishu ila ishu kupata huo ukweli wa DNA kwavle ukienda hela yako hawakatai ila tu wanapunguza watoto wa mitaani so lazma usakiziwd cheche otherwise labda kama una mtu unayemuamin sana ndio atakupa majibu sahihi
Ila mtoto hana hatia kama kazaliwa na mkeo we lea tu.Habari za leo ndugu.
Nahitaji kujua hivi inaweza kunigharim shilingi ngapi kupima DNA? Nahisi nabebeshwa mzigo usio wangu hivyo nataka nipate uhakika ili kama ni mwanangu nimlee kwa moyo mkunjufu. Ila sijui lolote kuhusu DNA. Msaada tafadhali.
Kweli kabisa mkuu, naelewa mtoto hana hatia na angekuwa kazaliwa ndani ya nyumba yangu wala nisingembagua kabisa. Ila huyo dada sijamuoa na isitoshe yeye yuko Dar na me naishi Moshi.Ila mtoto hana hatia kama kazaliwa na mkeo we lea tu.