Jibu umepata shukuru kwa mtoa jibu tufunge topicUkirenew inaendelea na class zilizopo
Ukiupgrade unalipia 3000 na class C lazima uambatanishe na NIT cheti halafu unalipia 70,000 tena kwa ajili ya leseni mpya yenye daraja jipya
Ndio unawezaHabari za weekend watu wa Mungu,
Binafsi driving licence yangu ime expire December 2020, na ilikua na class ABD.
Hivyo nataka kui renew, sasa swali la msingi ni kwamba iwapo nita renew mwezi huu na ikawa ABD hiyo hiyo ambayo ita expire baada ya miaka 5.
Je labda mwezi wa tano au wa tisa(any day) nikaenda driving school for lets say class C or whatever.... naweza kui upgrade in between before expiry au mpaka miaka 5 iishe?!