Msaada kuhusu DSE, nahitaji kununua HISA

Facha Don

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
345
Reaction score
317
Jamani wana JF,

Msaada, kwa yoyote anaejua kuhusu DSE (Dar es Salaam Stock Exchange) maana nahitaji kununua HISA.

Msaada wa mawazo
 
Jaman wana JF msaada kwa yoyote anajua kuhusu DSE (Dar es Salaam Stock Exchange ) msaada wa mawazo
Vyema kufunguka hasa msaada gani unahitaji. Kama unataka ushauri wa jinsi ya kununua hisa bora uwasiliane na brokers wa DSE.
 
Vyema kufunguka hasa msaada gani unahitaji. Kama unataka ushauri wa jinsi ya kununua hisa bora uwasiliane na brokers wa DSE.
Yaaan hapo ndyo penyew nataka kununua Hisa na hao Brokers ntawapataje
 
upo Dar? tafuta hawa jamaa wanaitwa Vertex n ma broker wapo Posta namba zao ni 0718 430 562
Asantee pia kwa Msaada wako ngoja nifanyie kazi hilo [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…