WENYELE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,433
- 1,442
Wakuu
Nina mpango wa kuanzisha Duka angalau linisaidie kuzungusha kamshahara kangu haka ka ualimu.Nahitajiwa nifuate taratibu zipi ili nifungue duka? Pia natakiwa niwe na mtaji wa shilingi ngapi? Duka langu litakua ni la kuuza vitu vya matumizi ya kila siki ya nyumbani pekee.
Asanteni