wana JF kuna ndugu yangu amechaguliwa bsc in geomatics ardhi university lakini amegundua kama pale EASTC bado wanapokea applicants wapya kwa degree ya official statistics so ameona kama ahamie kule,msaada anaohitaji ni huu
1. mawazo yenu juu ya uamuzi wake
2.hio degree ya statistics soko lake la ajira
naomba kama huna la kuchangia bora tu ukae kimya kuliko kuleta kashfa,
thank you