MSAADA KUHUSU ENGINE OIL

MSAADA KUHUSU ENGINE OIL

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
3,515
Reaction score
9,415
Wana Jf nawapa heshima yenu..
Ninaomba kuuliza kwa wenye uelewa kuhusu engine oil za magari..

kulingana na joto la nchi yetu Tz, ninaweza kutumia oil 5w 30 kwa gari langu?

Tangu ninunue gari nimekuwa nikitumia oil za oryx #40 sasa watu wengine wananishauri mara tumia total mara bp ma ra wengine wananiambia nitumie oil yoyote kati ya hizo bora iwe 5w 30.

Ushauri wenu tafadhali ni muhimu sana.

natanguliza shukrani ila ikumbukwe ni gari ndogo cc 1500 petrol
 
Specs za oil ya gari langu ni 5w-30 na 10w-30. Nikiweka tofauti na hizo, kama 5w-40 na 20w-50, mambo kadhaa hutokea.
1. Injini huvuma sana hasa nikiwasha gari asubuhi.
2. Gari huwa nzito kiasi, inachelewa kuchanganya.
3. Unywaji wa mafuta huongezeka.

Hilo suala la joto la nchi hii nadhani lisikupe shida kwa sababu hiyo injini iliundwa kufanya kazi kwa oil aina fulani (specs) na katika joto fulani (la injini si la nchini) ambalo huwa kati ya nyuzi 90-100. Likizidi, cooling system inafanya kazi yake.
 
Kweli mfumo wa GARI ni sawa na mwili wa mwanamke Lazima UJUE WAPI PANAPONYEGEKA
 
Gari haihitaji kuwekewa oil tofauti yaani utajuta.Kuna oil ambazo ni normal zinakubali injini zote but ni rarely.
 
Back
Top Bottom