Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Asante mkuu gari ni NISSAN 1.5L petrol ua mwaka 2005Gari gani tuanzie hapo kwanza
Specs za oil ya gari langu ni 5w-30 na 10w-30. Nikiweka tofauti na hizo, kama 5w-40 na 20w-50, mambo kadhaa hutokea.Wana Jf nawapa heshima yenu..
Ninaomba kuuliza kwa wenye uelewa kuhusu engine oil za magari..
kulingana na joto la nchi yetu Tz, ninaweza kutumia oil 5w 30 kwa gari langu?
Tangu ninunue gari nimekuwa nikitumia oil za oryx #40 sasa watu wengine wananishauri mara tumia total mara bp ma ra wengine wananiambia nitumie oil yoyote kati ya hizo bora iwe 5w 30.
Ushauri wenu tafadhali ni muhimu sana.
natanguliza shukrani ila ikumbukwe ni gari ndogo cc 1500 petrol