Wadau naombeni msaada hapa.. hivi kuna namna yoyote mtu ambaye hajafanya vema form four anataka kufanya grade A akapata zile foundation course kama ambavyo kwenye course nyingne zipo? I mean kwenye vyuo vinavyotoa grade A kuna vikozi vingne vidogo dogo vinavyoweza kumfanya ambaye hakufanya vema ku pata vigezo vya kuingia Grade A? NAOMBA SANA KUSAIDIWA KATIKA HILI
natanguliza shukrani