Msaada kuhusu environmental health Sciences

Msaada kuhusu environmental health Sciences

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,636
Reaction score
6,178
Habari wanajukwaa la elimu na jamii forum kwa ujumla.Kuna mdogo wangu wa kike alichukua CBG na ana point 7.5 amechaguliwa Bachelor of Chemistry.Huyu binti anataka kuhamia environmental health sciences.Sasa wakuu naomba kujuzwa future ya hii course katika upatikanaji wa ajira na fursa za kujiajiri,.mazingira ya kazi kwa ujumla na sehemu anazofanyia kazi ikiwa ni pamoja na salary scales zake.Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom