Kuweka pesa benki hupati faida kama unavyodhani, in fact unakatwa gharama fulani kila mwezi. Kwa hivyo kama akaunti yako ni Saving, obviously utakuta mwisho wa mwaka una pungufu ya hizo milion sita. Ikiwa unataka kafaida, ungefikiria kufungua fixed account ya mwaka, miezi sita au mitatu. Kafaida ni kiduchu sana, lkn inasaidia hasa kama huna mpango wowote wa kutumia pesa siku za karibuni. Exim wana akaunti inaitwa FAIDA, naona ni nzuri kwa sababu pesa hata ikae muda gani, haipungui chini ya ile uliyoweka. Kwa ujumla benki ni wakamuaji tu.