Msaada kuhusu form five post

Msaada kuhusu form five post

totole

Senior Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
140
Reaction score
25
Wakuu kwa wanao jua Hivi kuna uwezekano w komba kubadilisha shule uliyo chaguliwa?
 
Ni kweli inawezekana,ni kwenda wizara ya elimu moja kwa moja. Tofauti na hapo labda uombe uhamisho,kitu ambacho kitakugharimu kwenda kuripoti kwanza ulikopangiwa ili upewe admission namba.


Asante mkuu kwahiyo ukifwatilia wizarani utafanikiwa moja kwa moja tofauti na ukisubr resultslp ifke shule uliyo chagulia?
 
Back
Top Bottom