Ni kweli inawezekana,ni kwenda wizara ya elimu moja kwa moja. Tofauti na hapo labda uombe uhamisho,kitu ambacho kitakugharimu kwenda kuripoti kwanza ulikopangiwa ili upewe admission namba.