jojo au pipi
Member
- Apr 26, 2015
- 38
- 0
asante mkuu
Unasoma popote ila max zako ndo zitajaji.
Kila chuo kinasharti lake la usajili.
Naskia ukitaka UDSM unapaswa uwe na kuanzia b+ za masomo yote matano ulosoma kwenye foundation yako ya OUT.
nina foundation ya open wastani above 50 ngoja niapply udom bachelor of education special needs
ulisoma art au science minimesoma science
nlipga art kaka
unasoma udom au