Msaada kuhusu fundi mzuri wa Alminium

KishimbaJr

Member
Joined
Jul 25, 2022
Posts
75
Reaction score
67
Wakuu Nahitaji Kuweka Madirisha Ya Aluminium, Nipo DSM Tanzania Kwa Ambae Anamfahamu Fundi mzuri Ambae Alishawahi Kufanya Nae Kazi Na Wakamaliza Salama Huku Kazi Ikiwa Bora Naomba Niunganishwe Nae.

Ahsante.
 
Karibu TUKUHUDUMIE Boss office zetu zipo (mabwepande)BUNJU B DSM
Wasialana nasi ; 0756756770
 
Wakuu Nahitaji Kuweka Madirisha Ya Aluminium, Nipo DSM Tanzania Kwa Ambae Anamfahamu Fundi mzuri Ambae Alishawahi Kufanya Nae Kazi Na Wakamaliza Salama Huku Kazi Ikiwa Bora Naomba Niunganishwe Nae.

Ahsante.
Huyu yupo poa sana uaminifu 100% na kwa wakati 0658814521 anaitwa Joseph
 
0713 551641 Mch.Alex
Ni mchungaji na nimuanifu
Kazi zote za aluminium profiles ,PVC etc
Anaishi gongo la mboto, Ilala, Dar

Hata kazi za majengo marefu, mashirika, tenda za serikali na Binafsi anafanya.[emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…