Inaitwa ATF-MVWakuu ninataka kubadilisha Hydrolic oil/Gearbox oil aina ya gari ni Mazda Demio DBA DY3W. Ninaomba msaada kwa anaefahamu Gearbox Oil/Hydraulic oil inayofaa kuwekwa katika gari hii.
Angalia kwenye dip stick ya kupimia gear box oil. Huwa wanaadika aina ya oil kwenye kichwa cha kupimia. Usiweke oil nyingine zaidi ya hiyo.Wakuu ninataka kubadilisha Hydrolic oil/Gearbox oil aina ya gari ni Mazda Demio DBA DY3W. Ninaomba msaada kwa anaefahamu Gearbox Oil/Hydraulic oil inayofaa kuwekwa katika gari hii.
Inaitwa ATF-MV
Inaitwa ATF-MV
Nashukuru mkuu nimeona kwenye hicho kichwa chakupimia.Angalia kwenye dip stick ya kupimia gear box oil. Huwa wanaadika aina ya oil kwenye kichwa cha kupimia. Usiweke oil nyingine zaidi ya hiyo.
Inaitwa ATF-MV
Nashukuru mkuu nimeona.Inaitwa ATF-MV