Msaada kuhusu gharama za fundi

Msaada kuhusu gharama za fundi

Habari za asubuhi wazee,
Naombeni makadrio ya gharama za fundi kwenye ujenzi wa Msingi, ukuta, mpaka bati kwa wale wazoefu wa hizi kazi.
Ni vyema ukasema nyumba yako tarajiwa inaukubwa gani, vyumba vingap etc ili iwe rahis mtu kukupa makadilio ...
 
1: Site iko wap
2: Nyumba ya ukubwa gan
Tafuta mafund watatu wakupe bei alafu utafute average
 
Habari za asubuhi wazee,

Naombeni makadrio ya gharama za fundi kwenye ujenzi wa Msingi, ukuta, mpaka bati kwa wale wazoefu wa hizi kazi.
Mkuu ukifika hatua ya rangi nitafute kwa skimming bora pamoja na decoration mbali mbali. Tembelea Instagram page yangu ya; James paint and decoration 2257.hutojuta kukutana na mim
 
sawa mkuu
Mkuu ukifika hatua ya rangi nitafute kwa skimming bora pamoja na decoration mbali mbali. Tembelea Instagram page yangu ya; James paint and decoration 2257.hutojuta kukutana na mimi
 
Ungeweka mchanganuo Chief

Mawe trip / tofali ngapi
Mchanga trip ngapi
Cement mifuko mingapi
Nondo ngapi
Na ufundi / labour charge kiasi gani
Tatizo MTU unapoteza muda kushusha mahesabu alafu boss anapita kushoto😂
 
Tatizo MTU unapoteza muda kushusha mahesabu alafu boss anapita kushoto[emoji23]
Ndivyo ilivyo mkuu,
Hata kazi unazofanya wew ni sisi mafundi wenzio ndio tumepiga mahesabu.
So mtu akiomba msaada kama lipo ndani ya uwezo wako wew mpatie tu kisha muache tu ataamua mwenyewe ni fundi yupi amuite.
 
Back
Top Bottom