U unyakudongo Member Joined Apr 8, 2014 Posts 64 Reaction score 44 Dec 12, 2014 #1 Naomba kuuliza kwa yeyote aliyewahi kupata matibabu ya macho katika hospitali mpya ya International eye hospital iliyoko Victoria.gharama za kuonana na daktari .
Naomba kuuliza kwa yeyote aliyewahi kupata matibabu ya macho katika hospitali mpya ya International eye hospital iliyoko Victoria.gharama za kuonana na daktari .
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Dec 13, 2014 #2 sasa hiyo hospital ni mpya, waonaje wewe ukaenda kisha ukaja kutujuza.....?