Msaada kuhusu gharama za upasuaji MOI

Msaada kuhusu gharama za upasuaji MOI

kuroiler

Member
Joined
Jul 5, 2015
Posts
50
Reaction score
24
Naomba kuuliza gharama za upasuaji wa Mifupa MOI ikoje Kuna bro wangu alitibiwa kienyeji sasa mfupa unaunga vibaya, hivyo anapaswa kuvunjwa na kuungwa upya
 
Pia mchakato mpaka unapata huduma ukoje??
 
Back
Top Bottom