Habarini wadau.
Naomba kujuzwa juu ya hili:
Kama mtu amerithi kiwanja ambacho kilishapimwa na kina hati ila kwa bahati mbaya ile hati ilipotea...anatakiwa afwate taratibu gani ili aweze kuipata nyingine.
NB:
Kiwanja kilishapimwa.
asanteni sana
Nenda Polisi,watakupa Loss Report,kisha uwe na ushahidi wa kutosha kuhusu Urithi wa hicho kiwanja,pia nenda na details za hicho kiwanja kwa Registrar of Titles!