Naomba kusaidiwa endapo ikitokea mtu amepoteza au ameibiwa hati yake ya nyumba au imeungua na moto, je baada ya kutoa taarifa polisi na kupewa loss report je akienda ofisi za ardhi kuna uwezekano wa kupewa hati nyingine tena?
ndio utapewa..ila kuna utaratbu fulan.wa kuitangaza ishu yako kwenye public gazzete thn utapata hat yako.bila kusahau kuna malpo madogo ya kutengenezewa hati mpya.

Nenda ofisi ya msajili wa hati na barua ya kuomba hati nyingine. Utatakiwa kuitangaza kwenye gazeti la serikali na kusubiri kwa Siku 90 then unapewa duplicate kama hati mbadala. Uwahi usije kuta imekopewa benki.