Msaada kuhusu hawa SBT Japani

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,250
Reaction score
1,470
Katika kusaka namna ninavyowexa kupata walau ka gari ka kutembelea nilikuta kampuni inaitwa Sbt japan wauzaji wa magari kutoka japan.

Kabla cjafanya Order je ni kweli ni kampuni makini na iliyosajiliwa.Waliniambia wana tawi Tz dar.Mwenye ugakika nisije ingizwa mkeng'e.

Asanteni.
 
Order kutumia autorect wewe hao hmna kitu
 
Autorec magari yao ghali sana endelea na sbt hawana shida au check beforward wana offer kibao msimu huu.
 
Ni kweli wana ofisi katika jingo la NHC mtaa wa samora kwa maelekezo zaidi piga namba 0755261994
 
Ni kweli wana ofisi katika jingo la NHC mtaa wa samora kwa maelekezo zaidi piga namba 0755261994

Nashukuru maana nahitaji gari aina ya suzuki Escudo nina 7.5m mpaka kutoa bandarini.
 
Nashukuru maana nahitaji gari aina ya suzuki Escudo nina 7.5m mpaka kutoa bandarini.
Hiyo hela yako hata kodi peke yake achilia mbali graama za F.O.B na CIF haitoshi.
 
7.5 kaanunue suzuki carry Show room za Jangwani au zanzibar.
TRA wanavuna kodi ktk magari tu
 
Linganisha na beforward.jp
 
Haitatosha kodi iko juu zaidi ya nusu ya manunuzi yaani cif, kununua na kusafirisha hadi dar.
 
Unaagiza gari wakati rais anabana matumizi, tumia daladala
 
Nashukuru maana nahitaji gari aina ya suzuki Escudo nina 7.5m mpaka kutoa bandarini.

Kiwanja Chanika ni Tshs 2,000,000/-
Tofali 2000 msingi ni Tshs 2,000,000/-
Cement mifuko 100 ni Tshs 1,350,000/-
Fundi &Kuchimba ni Tshs 800,000/-
Inayobaki Fanya Kokoto, maji, vitendea kazi nk
 
Kiwanja Chanika ni Tshs 2,000,000/-
Tofali 2000 msingi ni Tshs 2,000,000/-
Cement mifuko 100 ni Tshs 1,350,000/-
Fundi &Kuchimba ni Tshs 800,000/-
Inayobaki Fanya Kokoto, maji, vitendea kazi nk

hahaha mwenzio anawazagari wewe nyumba GARI LINA RAHA YAKE dala dala kubanana tu
 
Kiwanja Chanika ni Tshs 2,000,000/-
Tofali 2000 msingi ni Tshs 2,000,000/-
Cement mifuko 100 ni Tshs 1,350,000/-
Fundi &Kuchimba ni Tshs 800,000/-
Inayobaki Fanya Kokoto, maji, vitendea kazi nk

Kaka nashukuru kwa ushauri tayari ikiwezekana mwezi ujao nahamia kwangu self cont.vyumba vinne capre point mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…