Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Si ya muda mkuu maana amenipatia leo hii kituLiver,gall blader ,pancrease & both kedneys are normal huko kwengine naona huyo jamaa alizidisha kukoroga kalamu.
Ila mbona majibu yana muda sana tangu 2013 au aikosea kuandika huyu taalamu wa ultra sound hapoTMK referral hospital
Dooh umenipa bonge moja la nondo ahsanteh mkuu ila jinsia yake ni ke huyo.NAD...nothing abnormal detected
Vyote viko fine
Mgonjwa ni ke au me
Manake naona uterus na adnexal pia vipo fine mkuu
Ila hapo serology...sijaona
Vidonda vya tumbo pia angefanya H-pyroli test au OGD.
NAD...nothing abnormal detected
Vyote viko fine
Mgonjwa ni ke au me
Manake naona uterus na adnexal pia vipo fine mkuu
Ila hapo serology...sijaona
Vidonda vya tumbo pia angefanya H-pyroli test au OGD.
Kama anahisi ni vidonda vya tumbo kipimo safi ni H-pyroli test, Stool for occult bloodKo unaweza mshauri akafanye checkup gani hapo mkuu?
Kama anahisi ni vidonda vya tumbo kipimo safi ni H-pyroli test, Stool for occult blood
Na pia kipimo cha uhakika ni OGD kinapatika pale Muhimbili kitengo cha magonjwa ya Tumbo(Gastro enteritis Department)
Ni mpira anamezeshwa kuanzia mdomoni mpaka kwenye utumbo mdogo kinatoa majibu sahihi kama ni magonjwa ya koo(oesophagitis) tumbo(gastric ulcers) au hata utumbo(duedunal ulcers)
Duuh zaidi. Since 2013
Ahsanteh mkuu nashukuru! na gharama zake zinaweza range vipi mkuu?
Kama hazijapanda mkuu around 30-50 thousand hapoAhsanteh mkuu nashukuru! na gharama zake zinaweza range vipi mkuu?
Asanteh mkuu! ubarikiwe sana aiseeKama hazijapanda mkuu around 30-50 thousand hapo
I known it against medical ethics bt the one who post that result didnt disclose important details pertain to the pt like name,Sex and age.Nahisi si vzr kufanya interpretation ya investigations results hapa kwenye jukwaa tuki encourage hali hii kuna siku mtu atashitakiwa kwa kusababisha madhara makubwa kwa mgonjwa plz this is my opinion its unethical unless hii forum is strictly for health professionals na kiukweli hakuna Doctor anayekutuma vipimo then akufiche results ni misconceptions ya clients! na mara nyingi clients wa kibongo wanapenda kupata positive results unakuta mtu anajisikia homa anaenda kupima Malaria anaambiwa yuko okay anakataa anahamia hospital nyingine kule akidanganywa anasifia eti pale hawajui kupima wameniambia sina Malaria wakati mm naumwa ,plz wagonjwa tuwaamini madaktari wetu na madaktari tu observe medical ethics.
Ukienda kufanya hicho kipimo cha OGD jiandae kisaikolojia maana hilo li mpira linavyosokomezwa huko tumboni lazima uone roho kama inatoka japokuwa unapigwa ganzi.Ni kipimo cha uhakika lkn uvumilivu unahitajika sana.Hata pale Regency Hospital kipimo hiki kipo.Kama anahisi ni vidonda vya tumbo kipimo safi ni H-pyroli test, Stool for occult blood
Na pia kipimo cha uhakika ni OGD kinapatika pale Muhimbili kitengo cha magonjwa ya Tumbo(Gastro enteritis Department)
Ni mpira anamezeshwa kuanzia mdomoni mpaka kwenye utumbo mdogo kinatoa majibu sahihi kama ni magonjwa ya koo(oesophagitis) tumbo(gastric ulcers) au hata utumbo(duedunal ulcers)
Shukrani mkuu nimekuelewaNahisi si vzr kufanya interpretation ya investigations results hapa kwenye jukwaa tuki encourage hali hii kuna siku mtu atashitakiwa kwa kusababisha madhara makubwa kwa mgonjwa plz this is my opinion its unethical unless hii forum is strictly for health professionals na kiukweli hakuna Doctor anayekutuma vipimo then akufiche results ni misconceptions ya clients! na mara nyingi clients wa kibongo wanapenda kupata positive results unakuta mtu anajisikia homa anaenda kupima Malaria anaambiwa yuko okay anakataa anahamia hospital nyingine kule akidanganywa anasifia eti pale hawajui kupima wameniambia sina Malaria wakati mm naumwa ,plz wagonjwa tuwaamini madaktari wetu na madaktari tu observe medical ethics.
Ukienda kufanya hicho kipimo cha OGD jiandae kisaikolojia maana hilo li mpira linavyosokomezwa huko tumboni lazima uone roho kama inatoka japokuwa unapigwa ganzi.Ni kipimo cha uhakika lkn uvumilivu unahitajika sana.Hata pale Regency Hospital kipimo hiki kipo.
No matter what, in short it's not advised to diclose the medical information to someone not patient unless you have existing consent from particular pt that's is rule number one!I known it against medical ethics bt the one who post that result didnt disclose important details pertain to the pt like name,Sex and age.
That why unakuta hata baadhi ya picha wanaficha zile sehemu muhimu kama uso lakin maelezo husiana na ugonjwa yanawekwa.
La msingi nahisi watu waelemishwe wasipost vitu kama majina ya wagonjwa na Vipimo nyeti kama Serology.