Mmavele jr Senior Member Joined Aug 14, 2014 Posts 130 Reaction score 53 Mar 26, 2015 #1 Ningependa kujua hii fakat ipo vyuo gan vya serikali na ajira yake inahusika maeneo gan hasa kwa anayefahamu naomba anipe mwanga kidogo juu ya hii kozi mi nipo kidato cha 6 ningependa kuijua zaidi
Ningependa kujua hii fakat ipo vyuo gan vya serikali na ajira yake inahusika maeneo gan hasa kwa anayefahamu naomba anipe mwanga kidogo juu ya hii kozi mi nipo kidato cha 6 ningependa kuijua zaidi