Mdenya blood
Member
- Apr 27, 2015
- 51
- 5
Msaada tafadhali wakuu kuna mdau mmoja aliomba mkopo heslb but hakupata mwaka jana alimua kukacha masomo na hvyo anataka kuanza process za kuanza tena chuo,Je akiomba mkopo atapata form six kamaliza 2012 form four 2009.
Msaada wakuu jamaa bado ana mzuka na chuo sema ndo hivyo mwana wa mkulima bundle halisomi.
Msaada wakuu jamaa bado ana mzuka na chuo sema ndo hivyo mwana wa mkulima bundle halisomi.