Msaada kuhusu HESLB, Maisha magumu hela hakuna boom hawaweki

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee!

Ila hakuna disbursement wala check number.

Na hujapata message ya boom shida inakuwa ipo kwa loan officer AU shida inakuwa Kule board ya mikopo?

Mana loan officer chuoni kwetu anajibu Kwa kujisikia sana, naombeni ufafanuzi ili nikajilipue.
 
Ushauri nje ya box tafuta kaujasiriamali kokote kakufanya mzee tumia talent au angalia uhitaji apo mzee chuoni unless maisha yatazidi kua magumu
 
kama ni mara yako ya kwanza kupata boom, je umesajiliwa kwenye mfumo wa DIDIS?

Kama bado, mpaka usajiliwe kwanza ndyo utapata boom
 
Nashukuru sana
Jana nimeenda board ya mikopo wameniambia kama ulivyonambia wewee wamesema mpaka Didis

Jana nimejisajili Didis Sasa Hela inaingia baada ya Muda Gani?
 
Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee!

Ila hakuna disbursement wala check number.

Na hujapata message ya boom shida inakuwa ipo kwa loan officer AU shida inakuwa Kule board ya mikopo?

Mana loan officer chuoni kwetu anajibu Kwa kujisikia sana, naombeni ufafanuzi ili nikajilipue.
Ingekua zama ya awamu iliyo pita ungetafutwa ili ushuhurikiwe / ufutwe chuo maana ingeonekana una ka utovu wa nidhamu.
 
Mkuuu tumiaa logic kuonesha makosa yangu ni yapi !! Toa logic unless otherwise nakutusi
Sawa kijana tukana TU kudhihilisha hauna adabu. Na kwa kuongezea hakuna tusi lolote jipya.

Maswala madogo madogo Kama hayo wewe umeshindwa kufuata protocol na unakimbilia humu Jf unakuja kujaza serva za melo..

NB.
Nimepotea kujiingiza kwenye hii thread yako bwana mdogo kila lakheli.
 
Acha ujuaji na unafki kwenda zako
 
Sawa kijana tukana TU kudhihilisha hauna adabu. Na kwa kuongezea hakuna tusi lolote jipya.

Maswala madogo madogo Kama hayo wewe umeshindwa kufuata protocol na unakimbilia humu Jf unakuja kujaza serva za melo..

NB.
Nimepotea kujiingiza kwenye hii thread yako bwana mdogo kila lakheli.
Fungua JF yako watu wafuate protocol zako usijaze server zako
 
Nashukuru sana
Jana nimeenda board ya mikopo wameniambia kama ulivyonambia wewee wamesema mpaka Didis

Jana nimejisajili Didis Sasa Hela inaingia baada ya Muda Gani?
Kama tayari umejisajili siku hazitazidi tatu mzigo utaingia, pia ukiona kuna jambo hulielewi ni vizuri ukaenda ofisi za serikali ya wanafunzi katika chuo unachosoma, hapo watakupa muongozo kwa usahihi zaidi.
 
dah...umenikumbusha kitambo...
btw mzigo ukiingia karibu temeke sokota kisuma apa
 
Kama tayari umejisajili siku hazitazidi tatu mzigo utaingia, pia ukiona kuna jambo hulielewi ni vizuri ukaenda ofisi za serikali ya wanafunzi katika chuo unachosoma, hapo watakupa muongozo kwa usahihi zaidi.
Nashukuru Sana ubalilkiwe Mungu atuepushe na kila baya
 
Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee!

Ila hakuna disbursement wala check number.

Na hujapata message ya boom shida inakuwa ipo kwa loan officer AU shida inakuwa Kule board ya mikopo?

Mana loan officer chuoni kwetu anajibu Kwa kujisikia sana, naombeni ufafanuzi ili nikajilipue.
HABARI YA HAPO SAUT
 
Back
Top Bottom