Nashukuru sanakama ni mara yako ya kwanza kupata boom, je umesajiliwa kwenye mfumo wa DIDIS?
Kama bado, mpaka usajiliwe kwanza ndyo utapata boom
Ingekua zama ya awamu iliyo pita ungetafutwa ili ushuhurikiwe / ufutwe chuo maana ingeonekana una ka utovu wa nidhamu.Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee!
Ila hakuna disbursement wala check number.
Na hujapata message ya boom shida inakuwa ipo kwa loan officer AU shida inakuwa Kule board ya mikopo?
Mana loan officer chuoni kwetu anajibu Kwa kujisikia sana, naombeni ufafanuzi ili nikajilipue.
Mkuuu tumiaa logic kuonesha makosa yangu ni yapi !! Toa logic unless otherwise nakutusiIngekua zama ya awamu iliyo pita ungetafutwa ili ushuhurikiwe / ufutwe chuo maana ingeonekana una ka utovu wa nidhamu.
Sawa kijana tukana TU kudhihilisha hauna adabu. Na kwa kuongezea hakuna tusi lolote jipya.Mkuuu tumiaa logic kuonesha makosa yangu ni yapi !! Toa logic unless otherwise nakutusi
Acha ujuaji na unafki kwenda zakoSawa kijana tukana TU kudhihilisha hauna adabu. Na kwa kuongezea hakuna tusi lolote jipya.
Maswala madogo madogo Kama hayo wewe umeshindwa kufuata protocol na unakimbilia humu Jf unakuja kujaza serva za melo..
NB.
Nimepotea kujiingiza kwenye hii thread yako bwana mdogo kila lakheli.
Fungua JF yako watu wafuate protocol zako usijaze server zakoSawa kijana tukana TU kudhihilisha hauna adabu. Na kwa kuongezea hakuna tusi lolote jipya.
Maswala madogo madogo Kama hayo wewe umeshindwa kufuata protocol na unakimbilia humu Jf unakuja kujaza serva za melo..
NB.
Nimepotea kujiingiza kwenye hii thread yako bwana mdogo kila lakheli.
Kama tayari umejisajili siku hazitazidi tatu mzigo utaingia, pia ukiona kuna jambo hulielewi ni vizuri ukaenda ofisi za serikali ya wanafunzi katika chuo unachosoma, hapo watakupa muongozo kwa usahihi zaidi.Nashukuru sana
Jana nimeenda board ya mikopo wameniambia kama ulivyonambia wewee wamesema mpaka Didis
Jana nimejisajili Didis Sasa Hela inaingia baada ya Muda Gani?
Nashukuru Sana ubalilkiwe Mungu atuepushe na kila bayaKama tayari umejisajili siku hazitazidi tatu mzigo utaingia, pia ukiona kuna jambo hulielewi ni vizuri ukaenda ofisi za serikali ya wanafunzi katika chuo unachosoma, hapo watakupa muongozo kwa usahihi zaidi.
HABARI YA HAPO SAUTWakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee!