afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 Sep 10, 2016 #1 Wakuu nimevutiwa na hii gari,naombeni uzuri na changamoto zake Nissan skyline 2007 250gt Model Code DBA-NV36 Engine Size 2,490cc.
Wakuu nimevutiwa na hii gari,naombeni uzuri na changamoto zake Nissan skyline 2007 250gt Model Code DBA-NV36 Engine Size 2,490cc.
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,067 Reaction score 4,434 Sep 10, 2016 #2 Ndege ya ardhini, hapo andika wosia kabisa
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 31,415 Reaction score 38,761 Sep 11, 2016 #3 Bei ngapi kwa madafu??? Nikawacheki vikoba.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Sep 11, 2016 #4 Chukua hiyo kitu ila chonde Chonde mguu na pedal
E elibariki lymo New Member Joined Sep 4, 2016 Posts 1 Reaction score 1 Sep 11, 2016 #5 spare tu bei zake c mchezo
Joblee JF-Expert Member Joined Sep 27, 2015 Posts 1,470 Reaction score 1,591 Sep 11, 2016 #6 Andika kwanza wosia ila Gari usiliings kwenye wosia Chonde Chonde
New Nytemare JF-Expert Member Joined Dec 15, 2011 Posts 3,333 Reaction score 2,484 Sep 11, 2016 #7 na vip kuhusu tezza
Mamaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 5,067 Reaction score 4,434 Sep 11, 2016 #8 New Nytemare said: na vip kuhusu tezza Click to expand... Teza sio gt na wala spot car, ni gari kama chaser tu imewekewa body ya spot car
New Nytemare said: na vip kuhusu tezza Click to expand... Teza sio gt na wala spot car, ni gari kama chaser tu imewekewa body ya spot car
afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 Sep 11, 2016 Thread starter #9 mkorinto said: Bei ngapi kwa madafu??? Nikawacheki vikoba. Click to expand... CIF $4,159. $4159+2187= Tsh 9,095,733
mkorinto said: Bei ngapi kwa madafu??? Nikawacheki vikoba. Click to expand... CIF $4,159. $4159+2187= Tsh 9,095,733
Snowpiercer JF-Expert Member Joined Sep 15, 2014 Posts 2,358 Reaction score 4,263 Sep 11, 2016 #10 Inataka resemble na kitu moja yaitwa Nissan FUGA (hatari sana hii gari) mjini hazionekani ovyo ovyo hizi FUGA...chukua FUGA.
Inataka resemble na kitu moja yaitwa Nissan FUGA (hatari sana hii gari) mjini hazionekani ovyo ovyo hizi FUGA...chukua FUGA.
afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 Sep 11, 2016 Thread starter #11 V6 Engine Attachments BF550957_90b01b.jpg 37.2 KB · Views: 116
afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 Sep 11, 2016 Thread starter #12 PjMarLu said: Inataka resemble na kitu moja yaitwa Nissan FUGA (hatari sana hii gari) mjini hazionekani ovyo ovyo hizi FUGA...chukua FUGA. Click to expand... Mkuu fuga Engine Size 3,490cc hmm..zimetofautiana kiasi.
PjMarLu said: Inataka resemble na kitu moja yaitwa Nissan FUGA (hatari sana hii gari) mjini hazionekani ovyo ovyo hizi FUGA...chukua FUGA. Click to expand... Mkuu fuga Engine Size 3,490cc hmm..zimetofautiana kiasi.
afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 Sep 11, 2016 Thread starter #13 Joblee said: Andika kwanza wosia ila Gari usiliings kwenye wosia Chonde Chonde Click to expand... Noted!
Joblee said: Andika kwanza wosia ila Gari usiliings kwenye wosia Chonde Chonde Click to expand... Noted!
afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 Sep 11, 2016 Thread starter #14 mshana jr said: Chukua hiyo kitu ila chonde Chonde mguu na pedal Click to expand... Advice token!
ozigizaga JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 701 Reaction score 1,703 Sep 11, 2016 #15 Ipo fuga ya cc 2500 kiongozi ambayo ni v6 pia.
LUGWA JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 961 Reaction score 472 Sep 11, 2016 #16 Mimi DG Technology DPA 5
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Sep 11, 2016 #17 Ni gari ya uhakika I love Nissan skyline nimewahi kumiliki mbili ina speed, nguvu, na ubora pia. Huwezi kujuta
Ni gari ya uhakika I love Nissan skyline nimewahi kumiliki mbili ina speed, nguvu, na ubora pia. Huwezi kujuta
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,666 Reaction score 12,178 Sep 11, 2016 #18 Hivi vyombo vya moto ni muhimu kuangalia dashboard kuliko macho mbele muda wote, maana ukiwa ndani waweza fikiri speed ni 20 kumbe 160
Hivi vyombo vya moto ni muhimu kuangalia dashboard kuliko macho mbele muda wote, maana ukiwa ndani waweza fikiri speed ni 20 kumbe 160
afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 Sep 11, 2016 Thread starter #19 black sniper said: Ni gari ya uhakika I love Nissan skyline nimewahi kumiliki mbili ina speed, nguvu, na ubora pia. Huwezi kujuta Click to expand... mkuu vipi kuhusu consumption yake?
black sniper said: Ni gari ya uhakika I love Nissan skyline nimewahi kumiliki mbili ina speed, nguvu, na ubora pia. Huwezi kujuta Click to expand... mkuu vipi kuhusu consumption yake?
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Sep 11, 2016 #20 Ni V6 tegemea matumizi makubwa