Nadhani hapo utakuwa umekosea wewe au mchapaji kakosea basi na huyo mwenyekiti wa baraza kasaini Bila kuangalia vizuri hukumu yakeWasalaam Wandugu, Ningependa Kupata Msaada Wa Kisheria Kwenye Kesi Yangu Ambayo Hukumu Ilisomwa Tarehe 12 Mwezi Wa Tatu Na Kuonyesha Mi Ndo Mshindi Dhid Ya Jiran Yangu Aliyejenga Kwenye Eneo Langu. Cha Kushangaza Siku Ya Kuchukua Hukumu Ikiwa Kwenye Makaratasi Naonekana Mi Ndo Nimeshindwa Na Haki Kapewa Mwenzangu. Hii Kesi Imefanyika Kwenye Baraza La Wilaya La Nyumba Na Makazi. Naomba Msaada Wenu