Alex Gk
Senior Member
- Sep 4, 2016
- 166
- 160
Wakuu wa JF, naomba msaada juu ya ubora wa hii PC, na nambiwa ni mpya tatzo ni bei iko very cheap! naomba uzoefu kama uliwahi kununua kwa hili duka BONGODUKA KARIAKOO, DAR. Lengo naitaka hii PC specs.... Ram 4GB na Hdd 320GB kwa mahitaji ya chuo.
Nisije lizwa bure.
Nisije lizwa bure.