Msaada kuhusu hili tangazo la Artel SMARTIKA

Msaada kuhusu hili tangazo la Artel SMARTIKA

Musundi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
1,584
Reaction score
2,613
Haka ka-wimbo ka tangazo lao la Smartika kanaishaje pale mwisho sijui? Najaribu kukasikiliza kwa makini lakini nashindwa kuelewa wanamaliziaje. Mnh...nisaidieni wenzangu mnaosikiliza vizuri zaidi!
 
Anakuwa ananifurahisha yule mwenye tai ndogo shingoni
 
Matamshi ndio namaanisha sio picha
 
Back
Top Bottom