Msaada kuhusu hili

Msaada kuhusu hili

Ngiyememya

Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
5
Reaction score
1
Habari zenu wanna Jf
Mimi ni kijana mjasiliamali nafanya biashara zangu ndogo ndogo za mtaaa kwa mtaa, nimekuja kwenu nahitaji uelewa coz nahitaji kununua pikipiki aina ya Boxer 150 sasa naombeni Kama my anayeifahamu vizr anifafanulie iko vipi kiundani kwasababu nimeendesha baiskeli mpaka nimechoka sasa nahitaji chombo Cha kurahisisha na kuleta ufanisi katika biashara yangu. Nakaribisha maoni
 
iko vizur saana inatulia barabaran kama.uko vizut kanunue mpya kama unataka used ninayo bado ipo katima hali nzuri sana ya rangi ya blue nimeifungia ndani tu ina miez sita toka nimeisimamisha nilikua naitumia kwa mahitaj yangu mwenyewe sasa hv situmii tena
 
Nataka ninunue mpya sijui inauzwa sh n
 
Nataka ninunue mpya sijui inauzwa sh n
Mpya jiandae kwa Mil 2 hivi. Ila kama utakua unabeba sana mizigo sikushauri hii ni laini hafu ina kiti kidogo cha mizigo. Ila kama kwa misele mjini itakua nzuri sana.
 
Mpya jiandae kwa Mil 2 hivi. Ila kama utakua unabeba sana mizigo sikushauri hii ni laini hafu ina kiti kidogo cha mizigo. Ila kama kwa misele mjini itakua nzuri sana.
Sio ya mzigo ya kuzungukia kusuply goods and then kukusanyia made basi
 
Nakushauri nunua watco au Huoniao. spea ni nyingi na bei nafuu, lakini pia mafuta inatumia kidogo sana. Boxer ni nzuri lakini spea ni ghali sana mfano kiki ya watco ni 7000 wakati ya boxer 30000.

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom