Msaada kuhusu hili

Joined
Sep 14, 2014
Posts
22
Reaction score
3
Habari zenu wanajamvi, kama kuna mtu anaelewa kuhusu hii coz(technology in agriculture) inayo tolewa chuo cha st joseph kuanzia masomo yake yakoje,sehemu ambazo naweza kupata kazi na chengine chochote kinacho husiana na hii coz afunguke hapa

Natanguliza shukurani wakuu
 
Mamaweeeeeee! Yani umedhamiria kabisa kusoma hicho chuo cha wakina kanjibai? Chuo hakitambuliki popote mkuu. Serious
 
Uzur wake hutakuwa ukitumia jembe utatumia trekta
 
Mamaweeeeeee! Yani umedhamiria kabisa kusoma hicho chuo cha wakina kanjibai? Chuo hakitambuliki popote mkuu. Serious

Chuo hakitambulik? Aha labda una TCU yako ya kijiwen
 
Mamaweeeeeee! Yani umedhamiria kabisa kusoma hicho chuo cha wakina kanjibai? Chuo hakitambuliki popote mkuu. Serious

Huyu jamaa nimejaribu kufatilia post zake hii ndo kazi yake kukatisha tamaa wenzake achana nae mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…