habare zenu wakubwa heshima kwenu mm ni kijana ambae niko certificate course ya accountancy ktk chuo cha utumishi wa umma nahitaji kufahamishwa kuhusu ni GPA gn nzuri ambayo mwanafunzi anatakiwa kuipata na kwa mfano mtu akitaka kuhama chuo kwenda chuo kingine ni GPA gn ambayo wanazingatia kumpokea mtu aliehamia???