Msaada kuhusu Historia ya Wafilisti

Msaada kuhusu Historia ya Wafilisti

coscated

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
3,264
Reaction score
2,676
Naomba mwenye kujua historia ya watu niliowasoma kwenye maandiko ya kale kama wafilisti, je ndio wa palestina wa leo au?
Pia ningependa kujua wale wafarisayo na wasadukayo ndio watu gani katika hii dunia tuliyopo leo?
Mwenye ufahamu anisaidie ufafanuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaojua wafilist ndiyo wapalestina wa leo.
Lakini mafarisayo na masadukayo nadhani ni titles na si makabila.
 
Back
Top Bottom