Msaada kuhusu hizi section za ITA CAP 332

Msaada kuhusu hizi section za ITA CAP 332

mambucha

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
279
Reaction score
160
Nimesoma mabaliko ya sheria yaliyofanyika bungeni kwenye WRITTEN LAWS MISCELLANEOUS AMENDMENTS hasa kwenye INCOME TAX ACT CAP 332 kuna section zimefanyiwa mabadiliko lakini nikiziangalia kwenye ITA CAP 332 , ambazo ni SECTION 65E, 65M na 65N nashindwa kuziona, tafadhali kwa mwenye uelewa anasaidie kuniaishia hizo section kwenye ITA CAP 332 kabla ya kufanyiwa mabadiliko

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Attachments

  • Screenshot_20170713-102301.png
    Screenshot_20170713-102301.png
    10.4 KB · Views: 31
  • 1498723111-EXTRACTIVE+INDUSTRY+AND+FINANCIAL+LAWS-4+%281%29.pdf
    1498723111-EXTRACTIVE+INDUSTRY+AND+FINANCIAL+LAWS-4+%281%29.pdf
    534.6 KB · Views: 27
Mkuu
Nimesoma mabaliko ya sheria yaliyofanyika bungeni kwenye WRITTEN LAWS MISCELLANEOUS AMENDMENTS hasa kwenye INCOME TAX ACT CAP 332 kuna section zimefanyiwa mabadiliko lakini nikiziangalia kwenye ITA CAP 332 , ambazo ni SECTION 65E, 65M na 65N nashindwa kuziona, tafadhali kwa mwenye uelewa anasaidie kuniaishia hizo section kwenye ITA CAP 332 kabla ya kufanyiwa mabadiliko

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
.

.
Mkuu mambucha hiyo sheria ya the Income Tax Act, cap 332 imeshafanyiwa marekebisho (Amendment) na sheria na 2 ya mwaka 2016 (the Finance Act 2016). Sheria hii ya mwaka 2016 sehemu ya VI imefanyi marekebisho ya cap 332. Kifungu cha 26 cha seria hii kimeongeza vifungu namba 65A, 65B,.... hadi 65S kwenye sheria mama, the Income Tax Act.

Kwa kifupi cap 332 sehemu ya VI baada ya kifungu namba 65 vimeomgezwa vifungu vingine 19, vikiwemo hivi unavyovitafuta.
 
Back
Top Bottom