Msaada kuhusu huduma ya NMB Chapchap

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
190
Reaction score
84
Habari wanajamii.

Nina account ya NMB Chapchap. Nataka nijue maximum deposit (kiasi cha juu kinachoruhusiwa kukaa kwenye account) ni shilingi ngapi?

Na maximum withdrawal (kiasi cha juu ninachoweza kukitoa kwa wakati mmoja) ni shilingi ngapi?

Natanguliza shukrani🙏🙏
 
Vyema ukauliza NMB directly. Ingia kwenye website yao kuna live chat itapop up ask kila kitu unachotaka kujua.

Very simple.
 
Maximum ni mil5
Ikizidi yabdi ukapeleka nyaraka usajiliwe akaunt kubwa

Mimi nakumbuka ilizidi mil5 wakanitumia meseji...ila nkaenda kuipunguza kwa wakala
 
Mimi ninayo hiyo account. Maximum deposit: 5 mil

Haina makato ya kila mwezi na wala haifungwi hata usipoitumia miaka kumi, ukiiitaka utaikuta iko active.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…