Habarini wakuu,
Nataka kumuagizia mtu gari lakini ni mtumishi wa serikali na ana tax exemption right.lkn sasa uelewa wake kuhusu hayo mambo ni mdogo sana.sasa ameniomba nimsaidie kumuagizia sasa na mimi hapo kwenye masuala ya tax exemption kwa bahati mbaya nakauelewa kadogo..
Sasa nia ya kuja hapa jamvini ni mnisaidie kujibu maswali yafuatayo,
1.naagiza gari ya mwaka 2001/5,je gari iliyovuka miaka 10 (yr of manufacture ina tax exemption)??
2.Na kama ina tax exemption ni gharama gani nyingine nitakazolipia gari litakapofika bandarini (yani kulitoa)??
Naomba kuwasilisha..