Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,659 Apr 29, 2014 #1 Wadau naombeni yeyote mwenye kujua idadi ya shule za sekondari (serikali na binafsi) hapa nchini kwetu. Ninatanguliza shukrani za dhati!
Wadau naombeni yeyote mwenye kujua idadi ya shule za sekondari (serikali na binafsi) hapa nchini kwetu. Ninatanguliza shukrani za dhati!
Shaaban Haufi Member Joined Apr 18, 2014 Posts 75 Reaction score 10 Apr 29, 2014 #2 Sijakuelewa,hizo idadi za shule nchi nzima zikusaidie nini? ofcourse u're not serious,so peleka topic zako facebook!humu tuna mambo mengi ya kufanya,tupishe
Sijakuelewa,hizo idadi za shule nchi nzima zikusaidie nini? ofcourse u're not serious,so peleka topic zako facebook!humu tuna mambo mengi ya kufanya,tupishe