msaada kuhusu INFLAZONE.dawa yaujauzito.

msambinungwa

Member
Joined
Jun 28, 2014
Posts
97
Reaction score
13
habari ya mapumziko wataalam.mimi natakakujua kuhusu infazone,nime meza leo namalizi cha 5,je nitege mee kushika mimba lini?
2:naona majimaji lakini yananukia vidonge,
je?nikawaida kwakua nimemeza iyodawa?leo siku ya 10 tangu nilipoingia mwezini.
ni.karibuni.
 
Kwanza umekosea timing yako katika umezaji, hilo ni kosa namba moja.

Pili huwezi kupewa hiyo dawa bila maelezo ya daktari, hilo ni kosa namba mbili hukumsikiliza daktari vizuri wakati anakuelewesha.

Mwisho kabisa mambo ya infertility siyo madogo kihivyo mpaka unaendekeza uzembe.
 
Nieleweshe nilipokosea ilimaranyingine nisirudie kosa.dk aliniambia nimeze nikimaliza kabisa bleed,ndivo nilivo fanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…