Jamani waungwani mimi nimehitimu chuo kikuu mwaka huu, katika pitapita hapa JF, nikapata tangazo la kazi (Admission coodinator) kutoka kwa Distance Learning Support Network (DLSN) nikaomba na baada ya muda wakanitumia interview (written) na leo wamenitumia form, ninachotaka kujua ni jinsi maslahi yao yalivyo na mambo mengine ambayo naweza pata kabla sijazama nao.