Msaada kuhusu Interview ya Customer Service Officers TANESCO

Msaada kuhusu Interview ya Customer Service Officers TANESCO

kitanywe 1

Senior Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
183
Reaction score
386
Habari za asubuhi wadau.

Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya CUSTOMER SERVICE OFFICERS. Ni maswali gani wanapendelea kutoa?

Asanteni sana.
 
Mkuu natamani sana nikusaidie ila binafsi ni mhandisi na nitakua eneo la tukio siku ya tar19' tubadilishane mawasiliano mkuu ili tukutane pale maana mtihani ni mtihani tu mkuu'
Asante sana Chief. Haina namna ngoja tukajaribu hapo Mwanza.
 
Mkuu natamani sana nikusaidie ila binafsi ni mhandisi na nitakua eneo la tukio siku ya tar19' tubadilishane mawasiliano mkuu ili tukutane pale maana mtihani ni mtihani tu mkuu'
Daah...nimecheka sana
 
Back
Top Bottom