Kama mkataba ni wa mwaka mmoja na unaishia tarehe 31 December, mkataba unasema mwisho wa mwaka unaweza ukarenew. Je, mwajiri anatakiwa akujulishe lini kwamba hataendelea na wewe kwa mwaka utaofuata? Je kama amechelewa kukujulisha kwamba hatakuwa na wewe kwa mwaka unaofuata tena bila kosa lolote, mwajiriwa unatakiwa uchukue hatua gani?